"Ndiyo"
"Hapana"
"Ondoa hifadhi ya USB"
"Ondoa hifadhi ya USB"
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Hifadhi ya USB"
"Hifadhi ya USB"
"Plagi ya nishati."
"Imechopolewa"
"AC"
"USB"
"AC+USB"
"Haijulikani"
"Baridi"
"Fanya kifaa kiweze kutambuliwa"
"Funga sauti ya upigaji simu"
"Zuia matumizi yakibonyezi cha bluetooth wakati skrini imefungwa"
"Lemaza maelezo mafupi?"
"Hii italemaza:<br><b>%1$s</b><br><br>Kutoka:<br><b>%2$s</b>"
"Imeunganishwa (hakuna simu)"
"Imeunganishwa(hakuna vyombo vya habari)"
"Imeunganishwa(hakuna simu au vyombo vya habari)"
"Imetenganishwa"
"Inatenganisha..."
"Ombi la ulinganishaji"
"Chagua ili kulinganisha na %1$s"
"Kitwaa kifaa cha Bluetooth"
"Ombi la kibali cha Bluetooth"
"Programu inaomba kibali ili kuwasha Bluetooth. Unataka kufanya hivi?"
"Programu kwenye kompyuta yako ndogo inaomba kibali cha kufanya kompyuta yako ndogo iweze kutambuliwa na vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %1$d. Unataka kufanya hivi?"
"programu kwenye simu yako inaomba kibali cha kufanya simu yako iweze kutambuliwa na vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %1$d. Unataka kufanya hivi?"
"Programu kwenye kompyuta yako ndogo inaomba kibali cha kuwasha Bluetooth na kufanya kompyuta yako ndogo iweze kutambuliwa na vifaa vingine kwa sekunde %1$d. Unataka kufanya hivi?"
"programu kwenye simu yako inaomba kibali cha kuwasha Bluetooth na kufanya simu yako iweze kutambuliwa na vifaa vingine kwa sekunde %1$d. Unataka kufanya hivi?"
"Inawasha Bluetooth..."
"Unganisha kiotomatiki"
"1:00 mchana"
"13:00"
"Mkoa ( %s )"
"Tuma broadcast"
"Action:"
"Anzisha activity"
"Resource:"
"Akaunti:"
"Mipangilio ya seva mbadala"
"hakuna mbadala wa"
"Kwisha"
"Orodha ya kuepusha uliyoichapisha haijaumbizwa sawa sawa. Tafadhali ingiza koma inayotenganisha orodha ya vikoa epuliwa."
"Geuza ukaguaji DNS"
"OEM-sbainifu Habari/Mipangilio"
"Hifadhi ya USB haijawekwa"
"Hifadhi ya USB haijawekwa"
"Hifadhi ya USB inatumiwa kama kifaa cha kuhifadhi vitu vingi"
"Hifadhi ya USB inatumiwa kama kifaa cha kuhifadhi vitu vingi"
"Ni salama sasa kuondoa hifadhi ya USB"
"Ni salama sasa kuondoa hifadhi ya USB"
"Hifadhi ya USB iliondolewa wakati bado yatumiwa!"
"Hifadhi ya USB iliondolewa wakati bado yatumiwa!"
"Inachanganua hifadhi ya USB ya media..."
"Inachanganua hifadhi ya USB ya media..."
"Hifadhi ya USB imeweka soma-tu"
"Hifadhi ya USB imeweka soma-tu"
"Ruka"
"Lugha"
"Maelezo ya kompyuta ndogo"
"Maelezo ya kompyuta ndogo"
"Hifadhi ya USB"
"Hifadhi ya USB"
"Mipangilio"
"Mipangilio ya njia ya mkato"
"Isiyotumia waya & mitandao"
"Mitandao isiyotumia waya"
"Dhibiti Wi-Fi, Bluetooth, hali ya ndege, mitandao ya simu za mkononi na VPN"
"Tarehe otomatiki & saa"
"Tumia muda uliopeanwa wa mtandao"
"Tumia saa iliyopeanwa kwenye mtandao"
"Ukanda wa saa otomatiki"
"Tumia ukanda wa saa uliopeanwa wa mtandao"
"Tumia ukanda wa saa uliopeanwa wa mtandao"
"Chagua ukanda wa saa"
"Panga kialfabeti"
"Panga kwa ukanda wa saa"
"Tarehe"
"Saa"
"Funga kiotomatiki"
"Onyesha maelezo ya mmiliki skrini inapofunga"
"Maelezo ya mmiliki"
"Ingiza maandishi ili kuonyesha kwenye skrini ya kufunga"
"Mahali na usalama"
"Weka Mahali Pangu, fungua skrini, funga kadi ya SIM, funga hifadhi ya hati-tambulishi"
"Weka Mahali Pangu, fungua skrini, funga hifadhi ya hati-tambulishi"
"Sanidi skrini ya kufunga"
"Sanidi skrini ya kufunga"
"Badilisha skrini ya kufunga"
"Badilisha au lemaza umbo, PIn, au usalama wa neniosiri"
"Chagua mbinu ili kufunga skrini"
"Zima"
"Isiyo salama"
"Mchoro"
"PIN"
"Nenosiri"
"Imelemezwa na msimamizi wa mbali wa kifaa"
"Zima"
"Isiyo salama"
"Imelindwa na mchoro"
"Imelindwa na PIN"
"Imelindwa na nenosiri"
"Lemaza kufungwa kwa skrini"
"Ondoa umbo la kufungua"
"Ondoa PIN ufunguaji"
"Ondoa nenosiri la kufungua"
"Badilisha umbo la kufungua"
"Badilisha PIN ya kufungua"
"Badilisha nenosiri la kufungua"
"Nenosiri lazima iwe angalau na vibambo %d"
"PIN lazima iwe angalau na vibambo %d"
"Gusa Endelea wakati imekamilaka"
"Endelea"
"PIN lazima iwe tu na tarakimu 0-9"
"Msimamizi wa kifaa haruhusu kutumia PIN ya sasa"
"Nenosiri linalo kibambo haramu"
"Nenosiri lazima liwe na angalau herufi moja"
"Nenosiri lazima liwe na angalau dijiti moja ya numeriki"
"Nenosiri lazima liwe na angalau alama moja"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau herufi 1"
- "Nenosiri lazima liwe kwa angalau herufi %d"
- "Nenosiri lazima liwe kwa angalau herufi 1 ndogo"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau herufi %d kubwa"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau herufi 1 kubwa"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau herufi %d kubwa"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau dijiti ya numeriki 1"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau dijiti ya numeriki %d"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau alama 1 maalum"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau alama maalum %d"
- "Lazima nenosiri liwe na angalau kibambo 1 kisicho cha barua"
- "Nenosiri lazima liwe na angalau vibambo visivyo na herufi %d"
"Msimamizi wa kifaa haruhusu kutumia nenosiri la sasa"
"Sawa"
"Ghairi"
"Ghairi"
"Ifuatayo"
"Usimamizi wa kifaa"
"Wasimamizi wa kifaa"
"Angalia au lemaza wasimamizi wa kifaa"
"Washa Bluetooth"
"Ombi la kulinganisha Bluetooth"
"Oanisha"
"Usioanishe"
"Zingatia"
"Kulikuwa na tatizo katika kuwasiliana na %1$s."
"Kulikuwa na tatizo la kulinganisha na %1$s kwa sababu PIN au nenosiri sio sahihi."
"Haiwezi kuanzisha mawasiliano na %1$s."
"Ulinganishaji umekataliwa na %1$s."
"Kulikuwa na tatizo katika kuunganisha kwa %1$s."
"Chunguza vifaa"
"Mipangilio ya kifaa"
"Vifaa vilivyolinganishwa"
"Vifaa vilivyopatikana"
"Unganisha"
"Tenganisha"
"Oanisha kisha unganisha"
"Batilisha ulinganishaji"
"Tenganisha na ughari uoanishaji"
"Chaguo…"
"Unganisha kwa..."
"Media ya sauti"
"Sauti ya simu"
"Uhamishaji wa faili"
"Kifaa cha kuingiza"
"Inazuia"
"Kushiriki muunganisho wa tovuti"
"%1$s itatenganishwa kutoka kwa sauti ya media."
"%1$s itatenganishwa kutoka kwa sauti ya kifaa kisichotumia mikono."
"%1$s itatenganishwa kutoka kwa kifaa cha kuingiza."
"Kifaa cha Bluetooth kilicholinganishwa"
"Unganisha"
"Unganisha kwa kifaa cha Bluetooth"
"Maelezo mafupi"
"Ipe jina jipya"
"Ruhusu mahamisho ya faili inayoingia"
"Imeunganishwa kwenye sikika ya njia ya mawasiliano"
"Imeunganishwa kwenye sauti ya simu"
"Imeunganishwa kwenye seva ya kuhamisha faili"
"Haijaunganishwa kwenye seva ya kuhamisha faili"
"Umeunganishwa kwa kifaa cha kuingiza"
"Tumia kwa sauti ya media"
"Tumia kwa sauti ya simu"
"Tumia kwa hali faili"
"Tumia kwa kuingiza"
"Tumia kwa ufikiaji mtandao"
"Mipangilio ya Gati"
"Tumia dock ya sauti"
"Kama simu ya spika"
"Kwa muziki na midia"
"Kumbuka mipangilio"
"NFC"
"Gusa ili kushiriki"
"Mnamo"
"Imezimwa"
"Gusa ili kushiriki hukuruhusu kushiriki maudhui kutoka kwa programu, kwa kugusa kifaa chako kilichowezesha NFC kwa kingine."
"Washa Wi-Fi"
"Katika mtindo wa anga ndege"
"Haiwezi kusafisha kwa mitandao"
"Sera ya kulala ya Wi-Fi"
"Bainisha wakati wa kubadili kutoka kwa Wi-Fi hadi data ya simu ya mkononi"
"Kulikuwa na tatizo la kuweka sera ya kulala."
"Ongeza mtandao wa Wi-Fi"
"Safisha"
"Unganisha kwa mtandao"
"Sahau mtandao"
"Mtandao umerekebishwa"
"Weka Mtandao"
"Ingiza nenosiri kutoka kwa pointi ya ufikio"
"Ingiza pin %1$s kwenye kituo cha ufikivu"
"Mtandao wa SSID"
"Nguvu ya kionyeshi cha ishara"
"Unganisha kasi"
"Mtindo wa EAP"
"Uhalalishaji wa awamu ya 2"
"Cheti cha CA"
"Cheti cha mtumiaji"
"Kitambulisho"
"Kitambulkisho kikubwa"
"Nenosiri"
"Onyesha nenosiri"
"Mipangilio ya IP"
"(haijabadilishwa)"
"(haijabainishwa)"
"Imerejeshwa"
"Haiko kwenye mpango"
"Unganisha"
"Sahau"
"Hifadhi"
"Ghairi"
"Mahiri"
"Bendi ya masafa ya mtandao-hewa"
"Bainisha masafa ya mazoea ya shughuli"
"Kulikuwa na tatizo la kuweka bendi ya masafa."
"Anwani ya MAC"
"Anwani ya IP"
"Tafadhali charaza anwani halali ya IP."
"Tafadhali charaza anwani halali ya lango."
"Tafadhali charaza anwani halali ya dns."
"Tafadhali charaza urefu wa kiambishi awali cha mtandao kati ya 0 na 32."
"Urefu wa kiambishi awali cha mtandao"
"Ubebezi wa Mipangilo ya ubebezi wa eneo maalum la Wi-Fi"
"Hotspot bebezi%1$s amilifu"
"Wi-Fi hotspot bebezi ina hitilafu"
"Sanidi Wi-Fi hotspot"
"%1$s%2$s ubebezi wa Wi-Fi hotspot"
"AndroidHotspot"
"Onyesha"
"Sauti"
"Mlio wa simu inayoingia"
"Sauti"
"Tetema wakati imenyamaza"
"Tikisika"
"Taarifa msingi"
"Arifu ya mwangaza wa palsi"
"Mlio wa simu"
"Arifa"
"Tumia sauti ya simu inayoingia kwa arifa"
"Vyombo vya Mawasiliano"
"Kengele"
"Mipangilio ya sauti ya kiambatisho cha gati"
"Toni za mguso wa pedi ya kupiga"
"Gusa sauti"
"Sauti ya kufunga skrini"
"Tetema inapoguswa"
"Ughairi wa kelele"
"Muziki, video, michezo na media nyingine"
"Toni ya mlio na taarifa"
"Arifa"
"Kengele"
"Gati"
"Mipangilio ya gati"
"Faili ya kusikika"
"Mipangilio ya gati ya eneo kazii iliyoambatishwa"
"Mipangilio ya gati ya gari iliyoambatishwa"
"Kompyuta ndogo haijawekwa kwenye gati"
"Simu haija gatiwa"
"Mipangilio ya gati iliyoambatishwa"
"Gati haipatikani"
"Kompyuta ndogo lazima iwe kwenye gati ili kusanidi sauti ya gati"
"Simu lazima iwekwe dock kwa kusanidi sauti ya dock"
"Uwekaji wa sauti ya Dock"
"Cheza sauti wakati unaingiza au kuondoa kompyuta ndogo kutoka kwa gati"
"Chezesha sauti wakati unapoingiza au kuondoa simu nkutoka gati"
"Usicheze sauti wakati unaingiza au kuondoa kompyuta ndogo kutoka kwa gati"
"Usichezeshe sauti wakati unapoingiza au kuondoa simu kutoka kwa gati"
"Akaunti & sawazisha"
"Ongeza au ondoa akaunti na ubadilishe mipangilio ya akaunti"
"Tafuta"
"Simamia mipangilio ya utafutaji na historia"
"Onyesha"
"Zungusha otomatiki skrini"
"Badilisha uelekezo kiotomatiki wakati unazungusha kompyuta ndogo"
"Badili uelekezaji kiotomatiki wakati wa kuzungusha simu"
"Badilisha uelekezo kiotomatiki wakati unazungusha kompyuta ndogo"
"Badili uelekezaji kiotomatiki wakati wa kuzungusha simu"
"Rekebisha mwangaza wa skrini"
"Usingizi"
"Baada ya %1$s ya kutokuwa na shughuli"
"Mwangaza wa kiotomatiki"
"Inahitaji PIN ili kutumia kompyuta ndogo"
"Inahitaji PIN ili kutumia kompyuta ndogo"
"Inahitaji PIN ili kutumia kompyuta ndogo"
"Inahitaji PIN ili kutumia kompyuta ndogo"
"Badilisha PIN ya SIM"
"PIN ya SIM"
"Funga kadi ya SIM"
"Fungua kadi ya SIM"
"PIN ya zamani ya SIM"
"Msimbo mpya wa PIN ya SIM"
"PIN ya SIM"
"PIN hazioani!"
"Haiwezi kubadilisha PIN."\n" Kuna uwezekano PIN sio sahihi."
"Haiwezi kubadilisha hali ya kufunga kadi ya SIM. "\n" Kuna uwezekano kwamba PIN sio sahihi."
"Hadhi ya kompyuta ndogo"
"Hadhi ya kompyuta ndogo"
"Visasisho vya mfumo"
"Toleo la Android"
"Hali"
"Hadhi ya betri, mtandao na maelezo mengine"
"Nambari a simu, mawimbi, n.k."
"Hifadhi"
"Hifadhi mipangilio"
"Ondoa hifadhi ya USB, angalia hifadhi inayopatikana"
"Ondoa hifadhi ya USB, angalia hifadhi inayopatikana"
"Nambari yangu ya simu"
"Nambari yangu ya simu"
"NDOGO"
"Toleo la PRL"
"MEID"
"Aina ya mtandao wa simu ya mkononi"
"Hali ya mtandao wa simu ya mkononi"
"Hifadhi ya ndani"
"Hifadhi ya USB"
"Hifadhi ya USB"
"Inahesabu..."
"Angua hifadhi iliyoshirikishwa"
"Ondoa kadi ya SD"
"Ondoa hifadhi ya ndani ya USB"
"Ondoa kadi ya SD ili uweze kuindoa kwa usalama"
"Ingiza hifadhi ya USB ya kuondoa"
"Ingiza kadi ya SD ya uangikaji"
"Weka hifadhi ya USB"
"Angika kadi ya SD"
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Futa data yote kwenye hifadhi ya ndani ya USB, kama vile muziki na picha"
"Futa data yote kwenye kadi ya SD, kama vile muziki na picha"
"Ondoa hifadhi ya USB"
"Uanguaji wa kadi ya SD"
"Ukiondoa hifadhi ya USB, programu zingine unazotumia zitakoma na huenda zisipatikane hadi uweke upya hifadhi ya USB."
"Ikiwa utaangua kadi ya SD, baadhi ya programu unazozitumia zitakomesha na huenda zisipatikane hadi utakapo angika kadi ya SD."
"Imeshindwa kuondoa hifadhi ya USB"
"Imeshindwa kuondoa hifadhi ya USB"
"Haiwezi kuondoa hifadhi ya USB. Jaribu tena baadaye."
"Haiwezi kuangua kadi ya SD. Jaribu tena baadaye."
"Hifadhi ya USB itaondolewa."
"Kadi ya SD itaanguliwa"
"Inaangua"
"Shughuli ya kuanguliwa inaendelea"
"Muunganisho wa kompyuta ya USB"
"Muunganisho wa kompyuta ya USB"
"Unganisha kama"
"Kifaa cha media (MTP)"
"Hukuwezesha kuhamisha faili za media kwenye Windows, au kwa kutumia Uhamishaji Faili ya Android kwenye Mac (angalia www.android.com/filetransfer)"
"Kamera (PTP)"
"Inakuwezesha kuhamisha picha kwa kutumia programu ya kamera, na kuhamisha faili zozote kwenye kompyuta ambayo haiauni MTP"
"Sakinisha zana za kuhamisha fali"
"Aina ya uhalalishaji"
"Hamna"
"PAP"
"CHAP"
"PAP au CHAP"
"Inarejesha mipangilio ya chaguo-msingi ya APN"
"Weka upya kwa chaguo-msingi"
"Kuweka upya kwa mipangilio chaguo msingi ya APN kumekamilika"
"Futa data yote kwenye kompyuta ndoto"
"Futa data yote kwenye kompyuta ndoto"
"Hii itafuta data yote kutoka kwa ""hifadhi ya ndani"" ya kompyuta yako ndogo, pamoja na:"\n\n"Akaunti yako ya Google"\n"Mfumo na data ya programu na mipangilio"\n"Programu zilizopakuliwa"
"Hii itafuta data yote kutoka kwa ""hifadhi ya ndani"" ya kompyuta yako ndogo, pamoja na:"\n\n"Akaunti yako ya Google"\n"Mfumo na data ya programu na mipangilio"\n"Programu zilizopakuliwa"
\n\n"Kwa sasa umeingia kwenye akaunti zinazofuata:"\n
\n\n"Ili kufuta pia muziki, picha, na data zingine za mtumiaji, ""hifadhi ya USB"" inahitaji kufutwa."
\n\n"Ili kufuta pia muziki, picha, na data zingine za mtumiaji, ""kadi ya SD"" inahitaji kufutwa."
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Futa data yote kwenye hifadhi ya ndani ya USB, kama vile muziki au picha."
"Futa data yote kwenye kadi ya SD, kama vile muziki au picha."
"Weka upya kompyuta ndogo"
"Weka upya kompyuta ndogo"
"Futa maelezo yako yote ya kibinafsi na programu zozote za kompyuta zilizopakuliwa? Haiwezekani kupindua tendo hili!"
"Mchoro wa kufungua"
"Lazima uchore mchoro wa kufungua ili uthibitishe kuweka upya data ya kiwanda."
"Thibitisha kuweka upya"
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Hufuta data yote katika hifadhi ya USB"
"Futa data zote kwenye kadi ya SD"
"Kitendo hiki kitafuta hifadhi ya USB. Utapoteza data ""yote"" iliyohifadhiwa hapa!"
"Kitendo hiki kitafuta kadi ya SD. Utapoteza ""data"" zote kwenye kadi!"
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Futa hifadhi ya USB, unafuta faili zote zilizohifadhiwa hapo? Hatua hii haiwezi kugeuzwa!"
"Futa kadi ya SD, unafuta faili zote zilizohifadhiwa hapo? Kitendo hakiwezi kugeuzwa!"
"Futa kila kitu"
"Chora mchoro wako wa kufungua"
"Lazima uchore mchoro wako wa kufungua ili kuthibitisha kwamba unataka kufuta hifadhi ya USB."
"Lazima uchore mchoro wako wa kufungua ili kuthibitisha kwamba unataka kufuta kadi ya SD."
"Inazuia USB"
"Hotspot Bebezi"
"Uzuiaji wa Bluetooth"
"Inazuia"
"Uzuiaji &bebezi ya hotspot"
"USB"
"Inazuia USB"
"USB imeunganishwa, angalia herufi"
"Imezuia"
"Haiwezi kuzuia wakati uhifadhi wa UsB unatumika"
"USB haijaunganishwa"
"Uzuiaji wa hitilafu ya USB"
"Uzuiaji wa Bluetooth"
"inazuia Bluetooth kwenye, lakini haijaunganishwa"
"inazuia Bluetooth kwenye, lakini haijaunganishwa"
"Uzuiaji wa Bluetooth zima"
"Uzuiaji wa Bluetooth zima"
"Hitilafy ya uzuiaji wa bluetooth"
"Haiwezi kuzuia kwa zaidi kuliko vifaa %1$d"
"%1$sitazuiwa"
"Msaada"
"Mahali pangu"
"Huduma ya mahali pa Google"
"Ruhusu programu kutumia Mtandao-Hewa na mitandoa ya simu ili kubainisha takriban eneo lako"
"Setileti za GPS"
"Ruhusu programu kutumia GPS kupata mahali pako"
"Tumia GPS iliyosaidiwa"
"Tumia seva ili kusaidia GPS (toa tiki ili kupunguza utumiaji wa mtandao)"
"Tumia seva ili kusaidia GPS (Toa tiki ili kuboresha utendajikazi wa GPS)"
"Mahali na Utafutaji wa Google"
"Ruhusu Google kutumia mahali pako kuboresha matokeo ya utafutaji na huduma zingine"
"Kuhusu kompyuta ndogo"
"Kuhusu kompyuta ndogo"
"Angalia maelezo ya kisheria, hadhi, toleo la programu"
"Mafunzo ya mfumo"
"Jifunze jinsi ya kutumia kompyuta yako ndogo"
"Jifunze jinsi ya kutumia simu yako"
"Maelezo ya usalama"
"Maelezo ya usalama"
"Huna muunganisho wa data. Ili kuona maelezo haya sasa, nenda kwa %s kutoka kwa kompyuta yoyote iliyounganishwa kwenye mtandao."
"Inapakia…"
"Chagua nenosiri lako"
"Chagua mchoro wako"
"Chagua PIn yako"
"Thibitisha nenosiri lako"
"Thibitisha mchoro wako"
"Thibitisha PIn yako"
"Nenosiri halilingani"
"PIN hailingani"
"Fungua uchaguzi"
"Nenosiri limewekwa"
"PIN imewekwa"
"Mchoro umewekwa"
"Skrini ya kufunga"
"Badilisha PIN ya kufungua"
"Thibitisha ruwaza iliyohifadhiwa"
"Mchoro wa kufungua"
"Tumia majibu ya mguso"
"Jinsi ya kuchora mchoro wa kufungua"
"Kulinda kompyuta yako ndogo"
"Kulinda kompyuta yako ndogo"
"Linda kompyuta yako ndogo dhidi ya utumizi usioidhinishwa kwa kuunda mchoro wa kibinafsi wa kufungua skrini. Tumia kidole chako ili kuunganisha vitone katika mpangilio wowote kwenye skrini ifuatayo. Lazima uunganishe angalau vitonne vinne. "\n\n"Uko tayari kuanza? Gusa \"Ifuatayo\"."
"Linda kompyuta yako ndogo dhidi ya utumizi usioidhinishwa kwa kuunda mchoro wa kibinafsi wa kufungua skrini. Tumia kidole chako ili kuunganisha vitone katika mpangilio wowote kwenye skrini ifuatayo. Lazima uunganishe angalau vitonne vinne. "\n\n"Uko tayari kuanza? Gusa \"Ifuatayo\"."
"Simamia na ondoa programu za kompyuta zilizosakinishwa"
"Ruhusu usakinishaji wa programu zisizo za Soko"
"Kompyuta yako ndogo na maelezo ya kibinafsi yanaweza kuathiriwa zaidi na programu kutoka kwa vyanzo visivyojulikana. Unakubali kwamba unawajibika kivyako kwa uharibifu wowote kwa kompyuta yako ndogo au upotezaji wa data ambao huenda ukatokea kwa sababu ya kutumia programu hizi."
"Simu yako na data za kibinafsi zinaweza kushambuliwa zaidi na programu za kompyuta kutoka vyanzo visivyojulikana. Unakubali kwamba unawajibika kabisa kwa uharibifu wowote wa simu yako au upotezaji data ambao unaweza kusababishwa kutokana na kutumia programu hizi za kompyuta."
"kache"
"Futa kache"
"kache"
"Vidhibiti"
"Lazimisha komesha"
"Lemaza"
"Wezesha"
"Sanidua visasisho"
"Panga kwa jina"
"Panga kwa ukubwa"
"Onyesha huduma zinazoendeshwa"
"Onyesha michakato ya kache"
"Kichujio"
"Chagua chaguo za kichujio"
"Zote"
"Iliyopakuliwa"
"Inaendesha"
"Hifadhi ya USB"
"Kwenye kadi ya SD"
"Imelemazwa"
"Hakuna programu"
"Hifadhi ya ndani"
"Hifadhi ya USB"
"Hifadhi ya kadi ya SD"
"Data hizo zote za programu zitafutwa kabisa. Hii inajumuisha faili zote, mipangilio, akaunti, hifadhidata na kuendelea."
"Programu haikupatikana katika orodha ya programu za kompyuta zilizosakinishwa."
"Ondoa visasisho"
"Unataka kuondoa visasisho vyote vya programu ya mfumo wa Android?"
"Futa data"
"Imeshindwa kufuta data ya programu"
"Programu hii haiwezi kufikia inayofuata kwenye kompyuta hii ndogo:"
"Programu hii ya kompyuta inaweza kufikia ifuatayo kwenye simu yako:"
"Inahesabu..."
"Haiwezi kuhesabu ukubwa wa furushi"
"huna programu zingine za wahusika wengine zilizosakinishwa."
"Toleo %1$s"
"Songa"
"Hamisha kwa kompyuta ndogo"
"Sogeza kwa simu"
"Hamisha kwa hifadhi ya USB"
"Sogeza hadi kwa kadi ya SD"
"Inaondoa"
"Kunayo hifadhi ya kutosha iliyobakishwa."
"Programu halipo."
"Nakala ya programu limelindwa."
"Eneo bainishwa la kusakinisha sio halali."
"Sasisho za mfumo haziwezi kusakinisha kwa midia ya nje."
"Lazimisha kukoma"
"Lazimisha ukomeshaji wa programu unaweza kusababisha isikose maadili. Je, una uhakika?"
"Sogeza programu"
"Eneo sakinishwa pendekezwa"
"Badilisha usakinishaji wa eneo la unaopendekezwa ya programu mpya."
"Matumizi ya hifadhi"
"Muonekano wa hifadhi uliotumika kwa programu"
"Huduma zinazoendeshwa"
"Onyesha na dhibiti huduma zinazoendeshwa kwa sasa"
"Inawasha upya"
"Imenasa mchakato wa usuli"
"Hakuna uendeshaji."
"Ilianzishwa kwa programu"
"%1$s Haina malipo"
"%1$s imetumiwa"
"RAM"
"%1$d shughulika na %2$d huduma"
"%1$d shughulika na %2$d huduma"
"%1$d shughulikia na %2$d huduma"
"%1$d shughulika na %2$d huduma"
"Inaendesha programu"
"Sio amilifu"
"Huduma"
"Shughuli"
"Acha"
"Mipangilio"
"Huduma hii ilianizishwa kwa programu yake. kuisimamisha kunaweza kusababisha programu kushindwa."
"Programu hii haiwezi kukomeshwa kwa usalama. Kwa kufanya hivyo sasa inaweza kupoteza baadhi ya kazi yako ya sasa."
"Huu ni mchakato wa zamani wa programu ambao unawekwa kwa ajili ya kasi bora zaidi iwapo inahitajika tena. Kwa kawaida hakuna sababu ya kuikomesha."
"%1$s Inatumika kwa sasa. Gusa Mipangilio kwa kuidhibiti."
"Shughuli kuu ambayo inatumika."
"Huduma inatumika %1$s"
"Mtoaji huduma %1$s anatumika"
"Komesha huduma ya mfumo?"
"Una uhakika unataka kukomesha huduma hii ya mfumo? Kama unataka, vipengele vingine vya kompyuta yako ndogo huenda vikome kufanya kazi vizuri hadi uizime na uiwashe tena."
"Una uhakika unataka kukomesha huduma hii ya mfumo? Kama unataka, vipengele vingine vya simu yako huenda vikome kufanya kazi vizuri hadi uizime na uiwashe tena."
"Uingizaji lugha"
"Uingizaji lugha"
"Mipangilio ya lugha"
"Mipangilio ya baobonye"
"Chagua mahali"
"Ukozaji-kioto"
"Mipangilio ya kibodi halisi"
"Mbinu hii ya kuingiza huenda ikaweza kukusanya maandishi yote unayoandika, pamoja na data ya kibinafsi kama vile manenosiri na nambari za kadi ya mkopo. Inatoka kwa programu %1$s. Tumia mbinu hii ya uingizaji?"
"Kamusi ya mtumiaji"
"Ongeza"
"Ongeza kwenye kamusi"
"Hariri Neno"
"Hariri"
"Futa"
"Huna maneno yoyote katika kamusi ya mtumiaji. Unaweza kuongeza neno kupitia menyu."
"Huna maneno yoyote katika kamusi ya mtumiaji. Unaweza kuongeza neno kupitia menyu."
"Maelezo ya kompyuta ndogo"
"Maelezo ya kompyuta ndogo"
"Uingizaji maandishi"
"Mbinu ya uingizaji"
"Mbinu ya sasa ya uingizaji"
"Ingioza kichaguaji mbinu"
"Kiotomatiki"
"Onyesha kila wakati"
"Ficha kila wakati"
"Sanidi mbinu za uingizaji"
"Mipangilio"
"Mipangilio"
"Mbinu amilifu za uingizaji"
"Tumia lugha ya mfumo"
"Mipangilio ya %1$s"
"Chagua mbinu amilifu za uingizaji"
"Mipangilio ya kibodi kwenye skrini"
"Baobonye iliyowekwa ndani"
"Baobonye iliyoundwa kwa ndani, mipangilio ya baobonye ya mkono"
"Weka chaguo za utengenezaji programu"
"Ruhusu maeneo ya jaribio"
"Ruhusu maeneo ya majaribio"
"Ruhusu utatuaji USB?"
"Utatuaji USB umekusudiwa kwa malengo ya utengenezaji tu. Inaweza kutumiwa kunakili data kati ya kompyuta yako na kifaa chako, kuweka programu kwenye kifaa chako bila notisi, na kusoma data ya kumbukumbu."
"Chagua kidude"
"Chagua wijeti"
"s%1$d s%2$d d%3$d s%4$d"
"s%1$d d%2$d s%3$d"
"d %1$d s %2$d"
"s%1$d"
"Takwimu za utumiaji"
"Takwimu za utumiaji"
"Panga kwa:"
"programu"
"Hesabu"
"Muda wa utumiaji"
"Ufikiaji"
"Mipangilio ya ufikiaji"
"Wakati Explore by Touch imewashwa, unaweza kusikia au kuona ufafanuzi ulio chini ya kidole chako."\n\n" Kipengele hiki ni cha watumiaji wasioona vizuri"
"%1$s inaweza kukusanya maandishi yote unayocharaza, isipokuwa manenosiri. Hii hujumuisha data ya kibinafsi kama vile namba ya kadi ya mkopo. Inaweza pia kukusanya data kuhusu maingiliano yako na kifaa."
"Zima ufikiaji?"
"Kugusa OK kutakomesha fafanuzi zilizosemwa na vipengele vile vingine vyote vya ufikiaji ulivyokuwa ukituma"
"Hakuna programu ya ufikiaji"
"Huna ufikiaji wa programu uliosakinishwa. Je, unataka kupakua kisomaji skrini kutoka kwa Soko la Android?"
"Je, unataka programu kusakinisha hati kutoka kwa Google ambazo zitafanya maudhui yake kufikia zaidi?"
"Kuwezesha chunguza kwa kugusa hubadilisha jinsi vifaa hujibu mguso. Wezesha chunguza kwa kugusa?"
"Huduma hii ya ufikiaji haina ufafanuzi. "\n" "\n" Huduma za ufikiaji hutoa aina tofauti za maoni wakati unapoingiliana na kifaa."
"Utumiaji wa betri"
"Ni nini kimekuwa kikitumia betri"
"Data ya utumizi wa betri haipatikani"
"Utumizi wa betri tangu kuchopolewa"
"Utumiaji wa betri tangu iliposetiwa upya"
"Kwenye betri %1$s"
"%1$s tangu ilipoondolewa"
"Inachaji"
"Skrini imewezeshwa"
"GPS kwa"
"mtandao-hewa"
"Amka"
"Mawimbi ya mtandao wa simu ya mkononi"
"Muda wa kuamka kwa kifaa"
"mtandao-hewa kwa wakati unaofaa"
"mtandao-hewa kwa wakati unaofaa"
"%1$s - %2$s%%"
"Maelezo ya historia"
"Tumia maelezo"
"Tumia maelezo"
"Rekebisha utumiaji wa nishati"
"Furushi zilizojumuishwa"
"Onyesha"
"Wi-Fi"
"Bluetooth"
"Hali-tumizi ya seli"
"Simu za sauti"
"Kompyuta ndogo haina shughuli"
"Simu haitumiki"
"CPU kwa jumla"
"Mandharimbele ya CPU"
"Weka chonjo"
"GPS"
"Inaendesha Wi-Fi"
"Kompyuta ndogo"
"Simu"
"Data imetumwa"
"Data iliyopokewa"
"Kusikika"
"Video"
"Washa saa"
"Muda bila mawimbi"
"Lazimisha komesha"
"Maelezo ya programu"
"Mipangilio ya programu"
"Onyesha mipangilio"
"Mipangilio ya mtandao-hewa"
"Mipangilio ya Bluetooth"
"Betri iliyotumiwa na simu za sauti"
"Betri inayotumiwa wakati kompyuta ndogo haina shughuli"
"Betri imetumiwa wakati simu haitumiki"
"Betri inayotumiwa na redio ya seli"
"Badili kwa gumzo ya ndege na okoa nishati katika maeneo ambayo hakuna mtandao wa simu ya mkononi"
"Betri uliyotumiwa na kizinza na taa ya nyuma"
"Punguza mwangaza wa skrini na/au muda wa kuisha wa skrini"
"Betri imetumiwa na Wi-Fi"
"Zima Wi-Fi wakati hauitumii au mahali ambapo haipatikani"
"Betri iloyotumiwa na bluetooth"
"Zima bluetooth wakati hauitumii"
"Jaribu kuunganisha kwa kifaa tofauti cha bluetooth"
"Betri iliyotumiwa kwa programu"
"Komesha au sanidua programu"
"Dhibiti kwa mkono GPS kwa kuzuia programu kutokana na kuitumia"
"Huenda programu ikatoa mipangilio ya kupunguza utumiaji wa betri"
"%1$s tangu ilipoondolewa"
"Ilipochopolewa mara ya mwisho kwa %1$s"
"Jumla ya utumiaji"
"Onyesha upya"
"OS ya Android"
"Seva ya media"
"Kiingizaji cha sauti & kutoa nje"
"Kiingizaji cha sauti & mipangilio ya kutoa nje"
"Tafuta sauti"
"Baobonye la Android"
"Ingizo la sauti"
"Uingizaji wa Sauti"
"Kitambulizi cha sauti"
"Mipangilio ya utambuzi wa sauti"
"Mipangilio ya\"%s\""
"Mipangilio ya maandishi kwa hotuba"
"Mipangilio ya maandishi hadi usemaji"
"Tumia mipangilio yangu kila wakati"
"Mipangilio ya chaguo-msingi hapa chini inafuta mipangilio ya programu"
"Mipangilio ya chaguo-msingi"
"Injini Chaguo-msingi"
"Inaweka injini ya hotumba ya mwondoko kwa kutumiwa na maandishi yaliyotamkwa"
"Kiwango cha usemaji"
"Kasi ya kutamkwa kwa maandishi"
"Giza"
"Huadhiri hali ya maandishi yaliyosemwa"
"Lugha"
"Huweka sauti maalum ya lugha kwa maandishi yanayozungumzwa"
"Sikiliza mfano"
"Cheza onyesho fupi la usanisi usemaji"
"Sakinisha data ya sauti"
"Sakinisha data ya sauti inayohitajika kwa usanidi usemaji"
"Sauti zinazohitajika kwa usanisi wa usemaji tayari zimesakinishwa vizuri"
"Huu ni mfano wa usanisi usemaji."
"Mipangilio yako imebadilika. Huu ni mfano wa jinsi inavyosikika."
"Injini ulioichagua haiwezi kuendesha"
"Sanidi"
"Chagua injini nyingine"
"Hotuba hii inawezesha injini huenda ikaweza kukusanya maandishi ambayo yatazungumziwa, ikijumlisha data ya kibinafsi ya nenosiri na namba ya kaddi ya mkopo. Inatoka kwa injini ya %s Wezesha matumizi ya hotuba hii iliyowezeshwa ya injini?"
"Injini"
"%s mipangilio"
"%s imewezeshwa"
"Imelemazwa %s"
"Lugha na sauti"
"Imesakinishwa"
"Haija sakinishwa"
"Mwanamke"
"Mwanamume"
"Hotuba kiwezeshi cha injini imesakinishwa"
"Wezesha injini mpya kabla ya kutumia"
"Kidhibiti Nishati"
"Inasasisha mpangilio wa Wi-Fi"
"Inasasisha mpangilio wa Bluetooth"
"Mipangilio ya VPN"
"Futa hifadhi"
"Futa hifadhi ya hati-tambulishi ya maudhui yote na uweke upya nenosiri lake"
"Ingiza nenosiri"
"Ingiza nenosiri la hifadhi ya hati-tambulishi."
"Nenosiri la sasa:"
"Una uhakika unataka kufuta hati-tambulishi zote na kuweka upya nenosiri la kuhifadhi hati-tambulishi?"
"Nenosiri lazima liwe na angalau vibambo 8."
"Tafadhali ingiza nenosiri sahihi."
"Tafadhali ingiza nenosiri sahihi. Una jaribio moja zaidi la kujaribu kuingiza nenosiri sahihi kabla ya hifadhi ya hati-tambulishi kufutwa."
"Hifadhi ya hati-tambulishi imefutwa."
"Hifadhi ya hati-tambulishi imewezeshwa."
"Mlio wa dharura"
"Weka tabia wakati simu ya dharura imepigwa"
"Faragha"
"Mipangilio ya faragha"
"Cheleza na kuonyesha upya"
"Data za kibinafsi"
"Cheleza data yangu"
"Cheleza data ya programu, manenosiri ya mtandao-hewa, na mipangilio mingine kwa seva za Google"
"Akaunti ya chelezo"
"Hakuna akaunti inayohifadhi kwa sasa data iliyochelezwa"
"Onyesha upya otomatiki"
"Kama nitasakinisha upya programu, kurejesha mipangilio ya chelezo au data nyingine"
"Nenosiri la chelezo la ndani"
"Chelezo kamili za ndani hazijalindwa kwa sasa."
"Chagua ili ubadilishe au uondoe nenosiri la chelezo kamili za ndani"
"Cheleza"
"Una uhakika unataka kukomesha kucheleza menenosiri yako ya mtandao-hewa, alamisho, na mipangilio mengine na data ya programu na kufuta nakala zote kwenye seva za Google?"
"Mipangilio za usimamizi wa kifaa"
"Msimamizi wa kifaa"
"Lemaza"
"Wasimamizi wa kifaa"
"Hakuna kifaa kinachopatikana cha msimamizi"
"Amilisha usimamizi wa kifaa?"
"Wezesha"
"Msimamizi wa kifaa"
"Uamilishaji wa msimamizi utaruhusu programu ya %1$s kwa kufanya kazi ya uendeshi ufuatao:"
"Msimamizi huyu ni amilifu na huruhusu programu %1$s kwa kutenda uendeshi ufuatao:"
"Hakuna Kichwa"
"Kawaida"
"Toni ya mlio na taarifa"
"Arifa"
"Mfumo"
"Usanidi wa mtandao-hewa"
"Hujaunganishwa"
"Ongeza mtandao"
"Onyesha orodha upya"
"Ruka"
"Ifuatayo"
"Nyuma"
"Maelezo ya mtandao"
"Unganisha"
"Sahau"
"Hifadhi"
"Ghairi"
"Inasafisha mitandao..."
"Gusa mtandao ili kuunganisha"
"Unganisha kwa mtandao uliopo"
"Unganisha kwenye mtandao usio salama"
"Ingiza usanidi wa mtandao"
"Unganisha kwa mtandao mpya"
"Inaunganisha..."
"Nenda kwenye hatua inayofuata"
"EAP haiamiliwi"
"Mipangilio ya usawazishaji"
"Ongeza akaunti"
"Mipangilio ya kawaida ya kusawazisha"
"Data ya maandhari nyuma"
"Programu inaweza kusawazisha, kutuma, na kupokea data kwa wakati wowote"
"Zingatia"
"Kulemaza data ya maandhari nyuma huzidisha nguvu za batri na kupunguza matumizi ya data. Baadhi ya programu huenda zikatumia muunganisho wa data ya maandhari nyuma."
"Programu imewezesha data ya otomatiki"
"Dhibiti akaunti"
"Kusawazishwa Kumewezeshwa"
"Sawazisha Kumezimwa"
"Hitilafu ya usawazishaji"
"Mipangilio ya chelezo"
"Cheleza mipangilio yangu"
"Gusa ili kusawazisha sasa
%1$s"
"Karibu kwa Google sync!"" "\n"Njia ya Google ya kusawazisha data ili kuruhusu ufikiaji wa anwani zako, miadi, na mengi popote ulipo."
"Mipangilio ya kusawazisha programu"
"Usawazishaji data"
"Badilisha nenosiri"
"Mipangilio ya akaunti"
"Ondoa akaunti"
"Ongeza akaunti"
"Maliza"
"Ondoa akaunti"
"Kwa kweli unataka kuondoa akaunti hii? Kuiondoa kutafuta pia ujumbe wake wote, anwani, na data zingine kutoka kwa kompyuta ndogo. "\n"Endelea?"
"Je, kweli unataka kuondoa akaunti hii? Kuiondoa kutafuta pia ujumbe wake wote, anwani, na data zingine kutoka kwa simu. "\n"Endelea?"
"Akaunti hii inahitajika na programu zingine. Unaweza tu kuiondoa kwa kuweka upya kompyuta ndogo kwa chaguo-msingi za kiwanda (ambazo hufuta data yako yote ya kibinafsi). Unafanya hivyo katika programu ya Mipangilio, chini ya Faragha."
"Akaunti hii inahitajika na programu zingine. Unaweza tu kuiondoa kwa kuweka upya simu kwa chaguo-msingi za kiwanda (ambazo hufuta data yako yote ya kibinafsi). Unafanya hivyo katika programu ya Mipangilio, chini ya Faragha."
"Usajili wa Push"
"Usawazishaji %s"
"Haiwezi kusawazisha kwa mikono"
"Usawazishaji wa kipengee hiki umelemazwa kwa sasa. Ili kubadilisha upendeleo wako, washa kwa muda data ya usuli na usawazishaji otomatiki."
"Ingiza nenosiri ili kugeuza hifadhi"
"Samahani, jaribu tena"
"Onyesha ANR zote"
"Onyesha kisanduku kidadisi cha Programu Haiitikii kwa programu za usuli"
"Hakuna programu zilizotumia data wakati wa kipindi hiki."
"Jina la VPN"
"Siri ya L2TP"
"onyesha chaguo mahiri"
"Seva ya DNS(mfano 8.8.8.8)"
"Njia za usambazaji (mfano 10.0.0.0 / 8)"
"VPN"
"Hariri mtandao"
"Futa mtandao"
"Ingiza nenosiri lako kamili la sasa la chelezo hapa"
"Ingiza nenosiri mpya kwa chelezo zote kamili"
"Tafadhali ingiza upya nenosiri lako jipya kamili hapa"
"Weka nenosiri la chelezo"
"Ghairi"