Import translations. DO NOT MERGE ANYWHERE
Auto-generated-cl: translation import Change-Id: I2a335b9e7ba8fbdabfe5c6960e65476f2f24b865
This commit is contained in:
@@ -119,8 +119,7 @@
|
||||
<string name="security_settings_face_settings_footer_class3_attention_not_supported" product="tablet" msgid="6790505667764631343">"Tumia uso wako kufungua kompyuta kibao yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi.\n\nKumbuka:\nUnaweza kuweka mipangilio ya uso mmoja tu kwa wakati mmoja. Ili uweke uso mwingine, futa uso wa sasa.\n\nKuangalia kompyuta kibao kunaweza kuifungua wakati hujakusudia.\n\nKompyuta kibao yako inaweza kufunguliwa na mtu mwingine akiiweka mbele ya uso wako, hata ukiwa umefumba macho.\n\nKompyuta kibao yako inaweza kufunguliwa na mtu mnayefanana, kama vile ndugu mnayefanana sana."</string>
|
||||
<string name="security_settings_face_settings_footer_class3_attention_not_supported" product="device" msgid="7858917821957779752">"Tumia uso wako kufungua kifaa chako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi.\n\nKumbuka:\nUnaweza kuweka mipangilio ya uso mmoja tu kwa wakati mmoja. Ili uweke uso mwingine, futa uso wa sasa.\n\nKuangalia kifaa kunaweza kukifungua wakati hujakusudia.\n\nKifaa chako kinaweza kufunguliwa na mtu mwingine akikiweka mbele ya uso wako, hata ukiwa umefumba macho.\n\nKifaa chako kinaweza kufunguliwa na mtu mnayefanana, kama vile ndugu mnayefanana sana."</string>
|
||||
<string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_v3_message" msgid="2145273491174234191">"Tumia alama ya kidole chako kufungua <xliff:g id="DEVICENAME">%s</xliff:g> yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi"</string>
|
||||
<!-- no translation found for security_settings_fingerprint_enroll_introduction_v3_message_2 (2729733479533012467) -->
|
||||
<skip />
|
||||
<string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_v3_message_2" msgid="2729733479533012467">"Tumia alama za vidole kufungua <xliff:g id="DEVICENAME">%s</xliff:g> yako au kuthibitisha kuwa ni wewe katika programu"</string>
|
||||
<string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_consent_message" product="default" msgid="5101253231118659496">"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua simu yake au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na mengineyo."</string>
|
||||
<string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_consent_message" product="tablet" msgid="3063978167545799342">"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua kompyuta yake kibao au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na zaidi."</string>
|
||||
<string name="security_settings_fingerprint_enroll_introduction_consent_message" product="device" msgid="4399560001732497632">"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua kifaa chake au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na zaidi."</string>
|
||||
|
||||
Reference in New Issue
Block a user